Duration 6:8

[HISTORIA FUPI YA ROZARI TAKATIFU]- Julius Mmbaga

1 587 watched
0
7
Published 1 May 2020

Historia fupi ya rozali takatifu: Rozali ni ibada kamili ambayo imekuwa ikisaliwa karne nyingi zilizopita. Licha ya kutambua history hii,kwa kifupi sana rozali ni ufupisho wa injili,hivyo tunapotafakari history ya rozali leo tujue tunatafakari kuzaliwa,kuteswa,kufufuka na kupaa mbinguni kwa Yesu Kristo wa Nazareth. Amina.

Category

Show more

Comments - 1