Duration 8:20

Billnass ALIVYOM-SUPRISE NANDY JUKWAANI KWENYE NANDY FESTIVAL DARESALAAM

84 553 watched
0
624
Published 5 Sep 2021

FAHAMU: Usiku wa jana lilifanyika Tamasha la Nandy Festival katika jiji la Daresalaam kwa mara ya kwanza ambapo wasanii mbalimbali walipanda jukwaani kutoa burudani kwa wakazi wa jiji la Dar. Moja kati y suprise iliyoteka ni pale Bill Nass aliponda jukwaani na kuanza kuimba na Nandy ambapo inakumbukwa wawili hawa walishai kua wapenzi kipindi cha nyuma, Tumekuwekea video yote itazame hapa kisha weka maoni yako hapo chini.

Category

Show more

Comments - 228