Duration 55:33

MHE. RAIS SAMIA NA MHE. RAIS KENYATA WAKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI

5 922 watched
0
52
Published 10 Dec 2021

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta wakizungumza na vyombo vya Habari na kushuhudia utiaji wa Saini wa Hati za Makubaliano na Ushirikiano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kenya leo tarehe 10 Desemba, 2021 katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam

Category

Show more

Comments - 6