Duration 9:40

Mbinu na mazoez ya tumbo la chini/tumbo la pembeni/na kuondoa tumbo la pembeni bila/abs workout

60 549 watched
0
362
Published 14 Oct 2019

Haya ni baadhi ya mazoezi ya kupunguza tumbo Ukiwa nyumbani, hayahusishi kuruka wala kusimama, ukiyafanya ndani ya mwezi Mzima utaona matokeo mazuri, Mazoezi ni kila siku ya jumatatu hakikisha umesubscribe usipitwe na video zote mpya. #mazoezi ya tumbo #mazoezi ya kukata tumbo #absworkout

Category

Show more

Comments - 105