Duration 8:27

IMANI NYUMA YA SADAKA NI BORA ZAIDI KULIKO UKUBWA WA SADAKA/AINA 6

12 154 watched
0
180
Published 28 Sep 2021

#sadaka#imani#matoleo#kanisa SADAKA HAINA HISIA..KWAHIYO PESA YAKO,SADAKA YAKO INAWEZA KUAMINI KWA NIABA YAKO..MOYO WAK O UNAPOTINDIKIWA KUAMINI..UNAPOFELI MOYO WAKO KATIKA KUAMINI…THEN SADAKA YAKO INAWEZA KUAMINI KWA AJILI YAKO… HATUSEMI KWAMBA TUNAPOTOA SADAKA TUNANUNUA MUUJIZA HAPANA…TUNATUMIA MIOYO YETU SABABU KWA MOYO MTU HUAMINI HATA KUPATA HAKI….KWAHIYO NIKITAKA KUPATA HAKI MBELE ZA MUNGU INANIBIDI NITUME MOYO WANGU KWAKE KWA KUPELEKA HAZINA YANGU..SABABU HAZINA YA MTU ILIPO NDIPO MOYO WAKE ULIPO….TUNAAMINI KWA MOYO NA PIA TUNATOA KWAMOYO…WAKATI MWINGINE MUNGU HUANGALIA NA KUKUTAZAMA NI KWA KIASI GANI UNAMUAMINI KWA NJIA YA KUTOA Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini "Warumi 13:11" Maarifa ya Ki-Mungu @SIRI ZA BIBLIA www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 https://linktr.ee/sirizabiblia Instagram Account https://www.instagram.com/siri_za_biblia/ SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI: M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Category

Show more

Comments - 38