Duration 22:5

HISTORIA YA KWELI “NILIFELI, NIKAFUKUZWA, FITINA KAZINI, MAWAZIRI WATANIJUA MIMI NANI

336 098 watched
0
1.6 K
Published 19 Mar 2021

Hapa Rais Samia Suluhu anatuelezea historia yake ya maisha hasa katika nyanja ya Siasa na Kazi

Category

Show more

Comments - 331
  • @
    @franmdleleni65203 years ago You had leadership qualities from the tender age. Curious in learning new skills. And you are a humble person. 5
  • @
    @cecilianandemu96843 years ago Encouraging story, may god see me through, through her story in jesus name. 14
  • @
    @KADALAtv2553 years ago Amazing encouraging story, may god see me through as it happened to mama samia in jesus name. Amen. 3
  • @
    @piusmakene63633 years ago Mama mwenye ufasaha, mtulivu na mwenye ucheshi mwingi. Hongera rais wetu. 60
  • @
    @rajabdibwa64153 years ago Mama samia very humble and down to earth woman congratulation mum! 2
  • @
    @backyardboy20203 years ago Very sweet tanzania the true heartbeat. Of africa. 5
  • @
    @annachales96233 years ago Mama nimekupenda sanaa. Kwa busara zako mama nitakupenda milele na mungu akulinde siku zotee. 20
  • @
    @RM3.3 years ago Wow. This is so uplifting, so proving of god' s work, that it doesn' t matter how much you feel you can' t, if god says you can, you will, and he will make you. God bless! 5
  • @
    @nizarurassa64803 years ago Mama samia raisi wangu wa awamu ya sita, moyo wangu unaimani nawewe, allah akusimamie katika uongozi wako. 22
  • @
    @evanschaedirectoreffortcon62643 years ago Very inspiring history, bigup mama samia. 1
  • @
    @pammymoraamoraa67023 years ago Beautiful woman there and with brains, show the world what a man can do a woman can fo better. 2
  • @
    @akhuisaif30613 years ago Love you more mama allah atakuwa nasi daima kuijenga tanzania. 12
  • @
    @joycecharles78213 years ago Very interesting story
    congraturation.
  • @
    @halimaabdallla54973 years ago Hongera mama yetu samiha alla akuzidishie nguvu na uwe kiongozi bora kuliko wote waliopita tazania. Nakuaminia mama. Tunakupenda sana. 12
  • @
    @aminamjema22923 years ago Mama ahasante kuna hali flan naipata sitakata tamaa tena kwamara ya kwanza kukuelewa niwakati wa kqmpan nilijikuta nafatilia kwakua niliona kile unachoeleza . ...Expand 5
  • @
    @MrMusyoka3 years ago I am so happy for this great woman. She will do the republic of tanzania proud no doubt. Mama wa taifa! 4
  • @
    @safiaothman10983 years ago Allah subhannahu wata' ala akujaalie uongozi mzuri wenye upendo, amani, utulivu na kuyaendeleza yote aliyoacha hayati rais magufuli, aamiin. 14
  • @
    @lilylilian87293 years ago Na leo sasa mum wetu umekua raisi mungu akujalie maisha marefu ujasiri na hekima uliongoze taifa
    i u mum.
    40
  • @
    @jennifersindano51353 years ago Jamani our president and our mother we love you and thank you for your honesty you are blessed and chosen by god. May the light of our lord jesus shine on you. 1
  • @
    @roselyimo77853 years ago Dear god please protect and bless our president mama samia suluhu hassan.
  • @
    @hadijasobo36953 years ago Naaza kupata faraja sasa naamin mungu yup na sisi atupa tena kiongozi mzur. 11
  • @
    @favourakitsa37813 years ago God is with u mama n he will see u through.
  • @
    @hapinesphilimon81273 years ago Kila kitu kinawezekana kwa jina la yesu. 7
  • @
    @mariamibrahim54673 years ago Defination of strength of a woman. God uplifts the humble. May you always find solutions in everything you do as your name suggests.
  • @
    @doreenkahunde31863 years ago This story teaches us big lesson. How to deal with people in office.
  • @
    @danielmbalwa93073 years ago Hongeraa rais kwa historia nzurii namini unatutiaa moyoo na wengine kufikaa hatuaa. 8
  • @
    @issangyabertha57413 years ago Mama ata sasa tunajua utaweza tunaami unaweza mungu akutangulie mama. 17
  • @
    @jameelahkasalu88333 years ago Wallah mama anafurahisha sana. Mola akuzishie ujasiri mamangu. 10
  • @
    @altojaphet33943 years ago Nampenda rais wangu adi machoz yananitoka daah afu jasir mkweli daah tuko naww mama yetu chapa kazi. 38
  • @
    @theresiawayda49283 years ago Unaweza mama tutakupenda daima, mungu akuongoze mama yetu kipenzi. 8
  • @
    @ashangonyani79893 years ago Asante mama kwa historia. Wewe ni kiongozi tangu. 10
  • @
    @hellencletus48333 years ago Mama ssh, m/mungu akuongoze. Naye tangu awali. 6
  • @
    @shebyking92023 years ago Nimependa sana hapo nimo kama waziri mama yangu, big up. 8
  • @
    @emmanuelpetro41073 years ago Hongera mama ilanaomba uvae viatu vya magufuli pia mungu akutangulie. 10
  • @
    @lelozaina87113 years ago Umeonekana mtulivu mungu akupe nguvu uongoze vizuri. 11
  • @
    @williammasubi11143 years ago From that humble beginning ye madam president utakuwa miongozo mzuri sana!
    mungu akubariki sana. Akuzidishie hekima. Akupatie wasaidizi wazuri wema.
    20
  • @
    @neemakaluwa21463 years ago Imenifunza kutokata tamaa.
    mungu atanipa namimi atakachoona kinanifa kwa wakati atakaoona unafaa.
    4
  • @
    @nyangigenyabitwano11803 years ago Hongera mama hata mimi nilichukiwa kwa kazini kama wewe na fitna kibao, leo mungu amenionyesha njia. 18
  • @
    @shazyahya41213 years ago Ongera mama kwa juhudi zako kazini hard work payed off. 8
  • @
    @aykilabelasda62813 years ago Mungu aliijua kesho yetu, na alikuandaa kwa kuongoza taifa hili. Jipe moyo mtumaini mungu na yote yatawezekana na kutuvusha salama. 5
  • @
    @filyakusimsigwa50063 years ago Sawa mama mungu akupe nguvu na maarifa tuweze kukufaidi mama yetu kuiongoza tanzania yetu vizuri. 3
  • @
    @dn.n49833 years ago Safi mama mpambanaji mungu hakubariki rais wetu. 4
  • @
    @naisaraahmed28223 years ago Machallah mungu akusaidie. Uendelee salama inchallah. 2
  • @
    @osodowilberforce23213 years ago Hasante sana kwa hiyo simulizi Mhe.Rais.Mungu alikuwa nawe tangu kuzaliwa uingoze inchi ya Tanzania na watu wake vizuri Mama wetu.Mungu akubariki. 3
  • @
    @hubatlaoze82483 years ago Rais wetu wa tanzania mama samia suluhu. 19
  • @
    @happinessnyambita81393 years ago Asante mama historia yakoimenifunza nami ctokata tamaa ntazidi kusonga mbele ijapokua changamoto ni nyingi.
  • @
    @pascarmwatosya68153 years ago Leo hii mama yetu rais hongera mama tunaamini tupo kwenye mikono salama kazikazi mama. 12
  • @
    @johnmalembo64643 years ago She is (shs) samia hassan suluhu.
    mwenyezi mungu akutangulie.
    10
  • @
    @mpelienock3 years ago Big up mama samiah suluhu, the same speed plz act on upholding our tanzania, may god help you. 3
  • @
    @fredrickjonathan11283 years ago Hongera mama samia, ninakuamini na ninajua kwamba, kazi yako hii mpya, unaiweza, mungu akutangulie. 1
  • @
    @abdulwaheedalrawahi1293 years ago Mama unaweza, umepitia mengi una experience ya uongozi mwenyezi mungu ukufanyie wepesi
    amin.
    22
  • @
    @marygaspar64293 years ago Na leo wewe ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Hongera mama. 12
  • @
    @angeleusjohn43413 years ago Dah mama samia wew umeshushwa na mwenyezi mungu hakuna alie kuchagua ila mwenyezi mungu ndoamekuketa hongera mama wew ni jasiri sanaa nlivyo sikiriza tu kiapo nimekupa 1000% 2
  • @
    @fatumachagudadui31383 years ago Kumbe mama unaweza hakika nimeamin utachapa kazi hongera. 6
  • @
    @allyabdallahmsusa3 years ago Mwenyezi mungu azidi kukubariki muheshimiwa raisi. 1
  • @
    @mariumpeter61473 years ago Asante sana mama kwa ushuhuda unaotia moyo na kuvutia. Mungu akubarki zaidi.
  • @
    @zenathkussaga52903 years ago Hakuna anae jua mungu kapanga nn? Hongera. 11
  • @
    @rashidjumamohamed34373 years ago Mama hongera kwa kuwa rais wetu.
    tunakuombea sana.
    kwa maneno haya pia kuna msg unatupa yakutobweteka. Kujiongeza.
    11
  • @
    @luifdls62173 years ago Big up strong woman. So inspiring tupo nyuma yako. Wanawake sisi tunakutazama. 1
  • @
    @egidiusthadeo55733 years ago Story ya kusisimua kweli!
    asantee mama na mkuu wetu wa nchi.
    1
  • @
    @judithsalvatory28923 years ago Hongera sana mama yetu mungu akazidi kukusimamia. 1
  • @
    @hatamimnimempendabulejaman15963 years ago Kwel alikuwa cool paka makuful alimsifia ana heshima. 14
  • @
    @yordanyona56023 years ago Ni mtu ambaye huwezi kumuona kwa macho ya kawaida, ila ameumbwa kufanya vizuri, she has faith god he will lead her way. Mungu ndio anaye muinua huyu mama. 17
  • @
    @cyphroserobert79473 years ago Hongera sana mama yetu, mwenyezi mungu akusimamie. 1
  • @
    @robertotton78843 years ago Mama samia you can do it play your part mungu yupo tuna imani sana na wewe mungu akusaidie tunakuombea. 1
  • @
    @samueljohn22103 years ago " was very
    nimeipenda sana hii.
    my president for sure tutatoboa!
    1
  • @
    @afreyghp343 years ago Napenda sana msemakweli.
    nakuheshimu sana mama angu,
    nakupenda sanatu rais wangu. < congole kwako,
    uongozi ni hekimatu
    .
    2
  • @
    @mwakalingalugano11403 years ago Kwa mara ya kwanza ktk taifa letu la tanzania tumempata raismama, rais wetu mungu wa mbingu na nchi akujalie hekima ile hekima ya sulemani, na jehova akufiche ktk uvuli wa mbawa zake ktk jina la yesu kristo aliye hai amina. ...Expand 2
  • @
    @carolinenjiro413 years ago Super mama nakupenda sana siku nyingi mno.
  • @
    @anorderick71623 years ago Mama nakukubali you deserve the best. Mwendo wako nimeupenda sio km wanawake wengine.
  • @
    @awatifalghanim11063 years ago Alhamdullilah mungu atakusaidia. Utusaidiye na sisi. Unazungumza vizuri, wewe kweli unafaa kwa cheo ulokabidhiwa. Mama samia una malezi mazuri kwenye ma . ...Expand 1
  • @
    @kalaitapetro82933 years ago Maskini samia suluhu umenifanya chozi limenitoka. Nmejifunza jambo flani hapa. Kumbe mungu akikuinua hakuna wa kukushusha. Hongera sana mama samia suluhu, hata urais umeingia hivyo hivyooo. 2