Duration 4:4

Mama aacha Familia akimbilia biashara ya kupiga chabo Dhahabu

26 546 watched
0
102
Published 6 Nov 2018

Salome Mlelema ni Mama alieamua kuiacha familia yake na kwenda kutafuta dhahabu katika machimbo ya Mwima wilaya ya Kahama, Kazi yake yeye ni kununua mawe kisha kupiga chabo kama kuna dhahabu kisha anauza kwa watu wanaonunua dhahabu.

Category

Show more

Comments - 10