Duration 3:24

WAZIRI JAFO AWAONYA WAKURUGENZI WANAOKATA FEDHA ZA MIKOPO ZA MADIWANI

174 watched
0
0
Published 9 Jun 2020

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleman Jafo amewaonya wakurugenzi wanaokata fedha za madiwani za mikopo lakini hawazipeleki katika mabenki akisema wanajiweka katika mazingira magumu.

Category

Show more

Comments - 0