Duration 8:52

Dua Nzuri ya Kuondosha Kila Aina ya Matatizo

498 963 watched
0
2.1 K
Published 14 Apr 2019

Category

Show more

Comments - 468
  • @
    @user-xl5zd6dz5c11 months ago Ya Allah kupitia dua hii naomba unifanyie wepesi katika utafutaji wangu na unifungulie riziki zangu amen 12
  • @
    @gggsaaa582610 months ago YAARRAB tujaalie mwisho mwema na utufanyie wepesi kwa kila palipo na uzito amiin YAARRAB 🤲 8
  • @
    @alphoncymatara51085 months ago Ya Allah nakuomba rehema zako juu ya maisha yangu na familia yangu ,pia wapunguzie adhabu ya kaburi wazazi wangu na kunijalia mwisho mwema juu ya maisha yangu na kazi yangu ya Allah nakugemea kwa kila Jambo juu ya maisha yangu ya Allah 🤲🏽 nakuomba unisikie ... 3
  • @
    @sophymussa5562last year Nilikuwa na tatizo la kimahakana nimekesha na Dua hii Wallah nimefika tu mahakamani kesi yangu ikaisha bila mie kuhusishwa na chochote. Tumuamini Allah kwa Kila jambo 9
  • @
    @nuruyusuph55628 months ago Yaa ALLAH kupitia dua hii nakuomba uniondolee maradhi yote yanayo nisumbua mimi na mama yangu utujahalie heri na salama utuepushe na kila aina ya mabalaa 🤲 2
  • @
    @cpasalma15324 years ago yarrab jaalia kwa dua hii hasad zote ziwe mbali nasi amin yarrab 4
  • @
    @naimarasheed58572 years ago Allah Kareem Mungu atuepushe na mitihani ya kila siku Amiina yarabi 🙏😘 10
  • @
    @bellbell92944 years ago Aamiin yaraab Aamiin ya Allah tujaalie nakila lenye kher nautuepushe nakila lenye Shari ss waja wako dhaifu nautujaalie mwisho mwema sote Aamiin jazaka Allahu khair 18
  • @
    @khamzamgandi9524 years ago Ya Allah tusamehe makosa ya siri na dhahiri. Amiin tujalie maisha mema. Mpaka mwisho. Utakapo chukuwa mja wako awe n mwenye kumjuwa mungu amiin 34
  • @
    @jasminmsafiri30532 years ago Ya rabbi niponye na niondolee kila shida ktk mwili wangu nipe afya njema nilinde me na watoto wng familia yng ndoa yng 2pe amani na furaha amiiin 1
  • @
    @user-hr6hp8rr4u8 months ago Yaaah ALLaH nakuomba kwa uzito wa dua hii niondolee Lila mitihani kwenye maisha yangu Amiin 1
  • @
    @shamimujumanne52674 years ago Ya Allah tujalie kheri duniani na mwisho mwema amiiin 🙏 24
  • @
    @yusufmarutt6081last year Kutokana na uzito wa Dua hii ewe Allah naomba uniepushe na Kila naina na mitihani na misuko suko inayo niandama kwenye maisha yangu na kwenye mwili wangu Amiiiin, niondoshee magonjwa yote yanayonisumbua kwenye mwili wangu na kwenye tumbo langu Amiiin Amiiiin Amiiin ... 3
  • @
    @liylahahmed8297 months ago Yaa Allah kupitia hii dua naomba uniondole kila matatizo moyoni mwangu InshAllah nipe kila la kheri la furaha amiin InshAllah 2
  • @
    @Atb3004 years ago Nakuomba mwenyez mungu uniwekee wepesi katika yote yenye uzito insha'Allah 🙏 33
  • @
    @datqassim23994 years ago Nakuomba yaa rabbi niondolee maradhi yanayonikabili naamini hakuna kubwa kwk... Amin😪 9
  • @
    @tausihasheem50514 years ago Yarabi ninusur na maradhi yawe madogo na ata makubwa makubwa... Inshallah 🤲🤲🤲 10
  • @
    @omarysaidi55474 years ago Amina Allah atujaalie wote tunoisikiliza dua hii 20
  • @
    @zubedaangomwile97410 months ago Yaaah ALLAH nakuomba unisaidie katika tabu anayopitia mdogo wangu atuna msaada zaidi yako ALLAH 😢😢 1
  • @
    @natashasaidy.last year Allah nijaalie mema mja wako niondolee maradhi nipe hitaji la moyp wangu kupitia dua hii yarabby🙏 1
  • @
    @nasrybinahmad42454 months ago Allah(sw) naomba kupitia dua hii iniponye maradhi yangu nisimame na kutembea tena Ameen 1
  • @
    @ukhtyhalimaismailbakari49313 years ago Amiin Yarrab Allah atujaalie mwisho mwema yarrab 🙏 🙏 5
  • @
    @mohamedmack54504 years ago Allah humma ri hamnii irahmatka yaa arhama rrahmii 3
  • @
    @MerryRenatus-ck4lzone week ago Kupitia dua hii Ee Mwenyezi Mungu nakuomba tufanyie wepesi katika kila zito tufungulie milango ya rizki na baraka Amini🙏
  • @
    @nadiaharimenshi90752 years ago Yaa Allaah yifanye Dua hiyi kuwa ni suluhisho kwa Kila mitihani tulio nayo ya maradhi na utuondoley ugumu wa maisha utupe afya njema sisi nawanetu na familia zetu tufunguwe vifungo tulivyo fungwa natusio wafahamu ya Allaah Kila kwenye zito tuwekey wepesi Allaah,Amin amini amin ... 2
  • @
    @saidmasika87383 years ago ya Allah nipe mema duniani na kesho haera na kizazi changu 3
  • @
    @ibrahimtuwa86032 years ago Ya Allah Niponye na Nikinge na Kila Aina ya Ubaya Kutoka Kwa Kiumbe Cha Aina Yoyoye, Ya Allah Nijaalie Afya Njema Mimi na Watoto Wangu na Familia Yangu Yote Kwa Ujumla, Ya Allah Nijaalie Rizki Ya Halali itakayoweza Kuendesha Maisha Yangu Mimi na Familia Yangu, Ya Allah Nijaalie Mafanikio Katika Maisha Yangu, Ya Allah Ninasue Katika Kila Aina Ya Vifungo na Mitego Mibaya, Ya Allah Niondoshee Nuksi na Mikosi Mbali inayoniandama Katika Maisha Yangu, Ya Allah Niepushe na Magonjwa Mbalimbali Mimi na Watoto Wangu na Familia Yangu. ... 36
  • @
    @jasminhassan72262 years ago Ya Allah nifanyie wepesi kwa Kila gumu ninalopitia namitihani yote ya kidunia nijalie afya Mimi pamoja na familia yangu amiin 2
  • @
    @officialchuchutv60968 months ago Ewe mwenyezi mungu nifanyie wepesi kwa kila gumu kwangu na uwafanyie wepesi wazazi wangu 🙏🙏🙏 1
  • @
    @ommydizzo90252 years ago Ya allah naomba unijaalie afya njema mimi na kizazi chetu inshallah amiini🙏 1
  • @
    @faridaiddi1044 years ago Amina yarabi
    Eeeh m/mungu naomba utulinde waja wako
    17
  • @
    @paulinacherement25342 years ago AMIIIN ya alltujaalie istighfaari na shahada mwisho wa umauti inshallah AMIIIN 2
  • @
    @usseneabelnfalume-sr2kx7 months ago Ya ALLAH com està DUA Peço para me curar todas as doenças que estão a manifestar no meu corpo e do corpo da minha Mãe. Ya ALLAH... Ya ALLAH 🤲🤲🤲🤲🤲 Amin thumma Amin 🤲😭😭😭😭
  • @
    @Captainkiss10003 weeks ago Ya allah unajua yanayo nisumbua na ninayo yahitaji unajua yatakayo nikakwaza na kunikwamisha unajua wabaya wangu na unajua shida zangu ya llah unajua magonjwa yangu na ugumu wa maisha yangu kwa ujumla bas nakuomba kwa dua hii nnayo isikiliza inavyo soma usiku huu ikawe dawa kwa kila baya nililonalo na litakalo kuja na unijaalie yote yalomema na unipe kinga ya kila kitu mpaka mwisho wa maisha yangu unijaalie mwisho mwema mimi na kizazi changu na wazazi wangu na ndugu zangu Hakuna kinacho kushindana upo juu ya kila kitu ndomana tunakuomba wewe ya allah jaalia Allahumma aamiin kwa baraka zatume wetu muhammad swalallahu aleihi wa alihi wa salaam ...
  • @
    @asminasmin43274 years ago Amiin....InshaaAllah Allah atujalie mwisho mwema 4
  • @
    @salmaally22522 years ago Yarabi kupitia dua hii tunusuru nakilashari na hasad yaraby, tujaalie afya njema utujaalie umri wenye manufaa sisi na vizazi vyetu ya Allh ,utuondoshee uzito katika nafsizetu navifua vyetu yarabi ,utujaalie husnul hatima yarabi. ... 1
  • @
    @rahmahussein12829 months ago Amini mwenyez mungu atupe afya njema kwa binadam wote aniondolee haya matatiz nilokua nayo anijaalie nipone kichwa na nikifika kzn nisiumwe na kitu chochote kile nifanye kaz zang vizur🤲 1
  • @
    @user-tr8on1yf5sone week ago Kupitia Dua hii yarab Naomba uniondoshee Vifungo nuksi mikosi na Madeni yote , Na pia Yule Nisie mtaka Niweke Mbali nae Ameena
  • @
    @user-cj3rt7eb1cone week ago Ya rabbi tunaomb mwisho mwema utusameh zambi zetuu utupony maradhi yote amiin
  • @
    @nasraamour59192 years ago Amiin yarab namuomba uniondoshe katika haya matatizo naomba unipe Amani ya nafsi yarrab naomba niongoze katika njia sahihi ya kukutukuza ww
  • @
    @user-le2qc2qv1l4 months ago Allah kupitia dua hii Naomba nifanyie wepesi kwa kila jambo nikinge na maradhi na husda Amen inshallah 🙏🙏🥹🥹🥹
  • @
    @user-mo3jg1ru4e10 months ago Allah atufanyie wepesi kwa kila jambo ,amen🙏 1
  • @
    @mesaidikazungu42994 weeks ago Ya Allah nakuomba dua hii iwe ndio mwisho wa matitizo yetu tunayo yapitia na ituondolee changa moto za maisha yetu ktk dunia hii na kesho akhera. 🤲🤲
  • @
    @sameeranassir31273 years ago Nakuomb mungu unfanyie wepes kwny kila Zito inshaallah 🙏 2
  • @
    @MaryumAbdul-ub4ip6 months ago Yaa Allah nijaalie mimi na familia yngu ktk uongofu,ns utukinge na mabalaa yote,tulinde na shari za viumbe vyako kwa dua hii,allahumma amiin
  • @
    @jacklinsalim26543 years ago Hee mwenyez mungu naomba unisamehe maovu yangu yote naomba unifungulie milango yangu yote Allah nifanyie wepes kwa maitaj yangu 🙏 1
  • @
    @abeydalsheraw20163 years ago amiin Allah tusamehe makosa yetu na tuondoshee na mazilla yote ya dunia na tupe mwisho mwema 1
  • @
    @mwanakhatibu37224 years ago Amiin yarrabi kila penye uzito kwangu nifanyie wepes mja wako 2
  • @
    @isalushadia45344 years ago mashaallah mwenyezi mungu atuepushe na matatizo 7
  • @
    @mohamedally71003 years ago Ameen Nakuomba mwenyezi mungu unifanyie wepesi kila ninalo kuomba la khery unijalie uzidi kuniongoza ktk ibada na yenye mema
  • @
    @meresiarwekaza60423 years ago Amin ya ALLAH...hakuna mbora kuliko wewe YA RAABI 2
  • @
    @ramadhanjuma9450last year We mwenyezi mungu nifanyie wepesi katika kazi yamikono yangu nauwalinde wazaziwangu wotewamili 🤲🤲
  • @
    @user-tm3ut4px5s3 months ago Yaallah kutokana nahidua na kuomba unikinge kiumbe chochote kileh kibaya mungu nijalie afiya na subirha duniani na angera amini ya Allah
  • @
    @mk-ed5py4 years ago Mwenyezi Mungu tuondoshee maradh tupe afya njema,Amin 4
  • @
    @mwantumjaff25893 years ago Amiin ya RABBY, nakuomba niondoshee huzuni, husda na maradhi ktk mwili wngu 🤲🏼🙏🏻 1
  • @
    @sultanmgaya14192 years ago Yarabih nakuomba ni nusuru na kila aina ya matatzo yanayonikumba 🙏🏼 1
  • @
    @ashurafundi28732 years ago Nakuomba mwenyez mungu niondolee matatizo yote yanayoumiza moyo wangu🙏 1
  • @
    @aishaally4632 years ago Mwenyezi mungu naomba unifanyie wepesi kwenye kila jambo Zito liwe jepesi inshallah
  • @
    @idrisaabdallah29494 years ago Amin Allah utuondolee mitihan na utujaalie tuwe waja wema kwako amiin 1
  • @
    @mtupesa2 years ago Mashallah.. Allah aikubalie kw hara Dua hii ya Ruqyah🙏🙏 1
  • @
    @user-su7uo3eu5bone week ago Ee mwenyezi mungu niondolee husida nifanyie wepesi katika kilahakatizangu Amina
  • @
    @muddymuddy45017 months ago Kwa Dua hii ya Allah naomba unisaidie nipate kazi huku ni endako unifungulie milango yenye baraka na uniondolee nuksi na mikosi na unikinge na ubaya wowote utakao jitokeza mbele yang naomba unikinge mm pamoja na familia yang naomba pia ninapotoka hapa kwenda kutafuta kazi naomba nifanikiwe na uniongoze kakta njia ilio sa hihi ya alla naomba nipate rizki isiokuwa na mtihan ya Allah nina Iman hii dua mpaka sasa imeshajibiwa na nnapokwenda ntakutana na baraka zako ya allah na dua hii nna Iman imefka.inshaallah. ...
  • @
    @nuriatintandu2543 years ago Eewe mola wetu twakuomba utuondolee viging vya hapa na pale na utuepushe na mabaya yote na utujaalie maisha mema na mwisho mwema yaallha twakuomba utujaalie yalomema🙏🤲🤲
  • @
    @saidkingazi12893 years ago Inshaallah, Ya Allah tusamehe makosa yetu, tujalie neema na tuepushe na mabaya. Amein 1
  • @
    @zakiahole6871last year Namuomba Mwenyezi Mungu amufanyie wepesi baba angu apone haraka tumbo linalomsumbua pamoja na kumuwekea ulinzi wa hali ya juu dhidi ya adui
  • @
    @teddyoscarkasubi59273 years ago Ya Allah nisameheme makosa yangu, Ya Allah mzindue mwanangu ajitambue aachane na mambo yake yasiokupendeza wewe mola wetu, mtoe kiumbe wako kwenye kiza kama ulivyomtoa Nabii AYUB KUTOKA KWENYE TUMBO LA PAPA YARAABY, KWA UFALME WAKO NA REHMA ZAKO KILA KITU KINAWEZEKANA AMEEN, TUJAALIE KHERI, TUONDESHEE MARADHI NA HUSDA NA UTUFUNGULIE YALIO NA KHERI KWETU AMEEN, YA ALLAH NIJAALIE MWISHO MWEMA NA UNIFANYIE WEPESI KWENYE YOTE YENYE UZITO AMEEN INSHAALLAH. ...
  • @
    @bahatikiwayi88084 months ago Yaarrab tujaalie mwisho mwema na utufanyie wepesi Kwa Kila palipo na uzito amin yaarrab
  • @
    @allthingdranabeauty8 months ago Allah Naomba nifanyie wepesi ,Asante kwa Dua
  • @
    @sabrinaibrahim5064last year Ya allah nikinge na maradhi niondelee matatizo yote niepushe na shari za walimwengu inshaallah 1
  • @
    @ismailysaidy45734 years ago Allah tusaudie kutuondolea balaa na nuks msongo wa mawazo na vifanyie upes viumbe vyote ulivyo viumb 1
  • @
    @user-hh2iz8pq8q6 months ago Ameen yarabi tusameh makohsa yetu yasiri nayadhahiri nachujaliye mwisho mwema
  • @
    @user-sq8pq1xj7m2 years ago Yaraabi nakuomba niondoshee hii homa unjalie nipate nafuu kwa haraka maana naumwa sana Ewe Yaraabi nisaidie maana wewe ndiwe unae ona mimi sioni nakuomba kwa imani yangu yote Ameeen insha'Allah
  • @
    @NeemaMpelengana-ws9rn6 months ago hee mwenyezi mungu niepushe na kira baya nipe maisha marefu niwaree wanangu ameen
  • @
    @user-jk7mi4nd6i9 months ago Ya Allah tuondolee matatizo na mitihani tunayopitia na utupe yale tunayokuomba, Ameen
  • @
    @tchale2663 years ago Heee mwenyezi mungu akuna alie Juu ya kila Kitu duniani au muamuzi zaidiako ya allah tusameee makosa yatu kweli Sisi tuwakosefukwa mwenyezi mungu nakuomba Kwa wakati huu mugumu nijalie uhuru Wa roho na nafsi yangu baba angalia familia uliyo nipa mungu nakuomba wanusuru nauwafari katika matatizo ayaa ambayo solution ni kwakotu yarabii tunakuomba natuna imanikuwa utatusikia mungu Wetu ameen🙏🙏🙏😭😭😭 ...
  • @
    @fadinaabdul36272 years ago Allah nakuomba utujalie afya njema Mimi na family yangu ewe Allah nakuomba utuepushe na kila fedhea za duniani ewe Allah nakuomba utufungulie milango ya ridhiki utuondeshee ufukala ewe Allah nakuomba utujaalie amani na upendo Mimi na family yangu ewe Allah nakuomba utuondeshee chuki baina yetu ewe Allah nakuomba utujaalie mwisho mema inshallah amiiina ...
  • @
    @rashdamsuya7792last year Allah nifanyie wepec kwa Kila zito kwangu nipe afya njema Mimi pamoja na familia yangu nikinge na husda na Kila sharii eeeeeh mola wangu nifanye niwe wakukushukuru kwa Kila ninalopitia.aamin see
  • @
    @user-eq3mb3rp8h2 months ago Ya Allah kupita dua hii unifanyie wepesi kwenye maisha yang
  • @
    @mudymbarouk82792 years ago Ameen Tunamuomba M/mungu atujalie afya njema na atuondolee maradhi
  • @
    @nazminshiraz4579last year ya allah niponye naunikinge naubaya wa aina yoyote kutoka kwa waja mimi nawatoto wangu nafamilia yangu yarabby
  • @
    @athumankassim78014 years ago Allahumma Eee! M/mungu niondolee maladhi yang kwa dua hii 1
  • @
    @monaa95594 years ago Alhamdhlillah niwe mweny kuitiwa shida zangu AminAmin 1
  • @
    @jeanbb13853 years ago Ameen Ee Mwenyezi Mungu nisaidie mimi mkosaji