Tukio la kwanza ni la Mauaji ya dada wa kazi, tulipewa taarifa kwamba inadaiwa kuna dada wa kazi ameuliwa, tunafuatilia tutaleta taarifa za hilo tukio punde
Tukio la pili ni lile la Mama ambae alikuja kuomba kazi akafanya kwa siku 8 boss hakuridhika nae sasa mama anadai alipwe mwaka mzima kwa sababu boss kakatisha mkataba.
Category
Show more
Comments - 12
Related videos for TUMEPATA MATUKIO MAWILI OFISINI KWETU KUHUSU WADADA: