Huyu jamaa anajiita Nabii au mtumishi wa Mungu hukuGairo Mkoani Morogoro jamaa huyu anatuhumiwa kubaka wake za watu na mabinti kwa kuwadanganya kuwa anatakasa kwa kupitia uume wake na hatimae amempa ujauziti Mwananfunzi wa Kidato cha tatu.Fwatilia tukio hili ambalo Mkuu wa Wilaya ya Geita amelisimamia mwanzo mwisho hadi kumpeleka polisi huyo jamaa..
#geahhabibu #GeahTv