Hi! Unatamani kujua vitu muhimu vya kuwa navyo chuoni? hasa kama unaenda kwa Mara ya kwanza?? I got you.
Leo nimeongelea vitu hivyo.
Tuwasiliane : https://www.instagram.com/abiblegirl_/
Kwa vitu natamani first year wavijue unaweza kuvisoma hapa : Things I wish every first year students should know
https://abiblegirl.com/2019/10/04/time/
Asante sana kwa kuangalia.. Share na wengine, Subscribe na comment kama umeangalia.
Shout out to Adam and Muta.
-Eunice, Maisha ya Chuo.