Ni kutoka katika Parokia ya Mt. Farnsisko wa Asizi Jimbo Katoliki la Rulenge- Ngara Askofu Severine Niwemugizi aliimba wimbo wa Pasaka au Mbiu ya Pasaka kama inavyosemwa na kisha kuwasha mshumaa katika mkesha wa usiku wa Pasaka Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Category
Show more
Comments - 15
Related videos for ASKOFU NIWEMUGIZI APIGA MBIU YA PASAKA: