Duration 2:43

TUNDU LISSU, APEWA BARAKA ZA KUGOMBEA URAIS-CHADEMA

10 518 watched
0
76
Published 11 Aug 2020

Mgombea Urais Kupitia CHADEMA,Tundu Lissu amekutana na kuzungumza na Wanachama katika Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga.

Category

Show more

Comments - 28
  • @
    @jaksonjulius90104 years ago Asanteh mungu kwa kutuletea mh. Tundu antipus lissu msema kweli kwa uhuru hata kama mkuu hapend uhuru wetu.
  • @
    @ukweliunauma45704 years ago Hakuna raha katika dunia kama kua na freedom ya kusema, freedom ya maisha, kushinda kuishi na hofu na kuogopa watu fulani, nchi imekua unacho fanya unakomolewa, au kupotea amkeni watanzania we zangu jamani. 2
  • @
    @johnisrael19684 years ago Ha haaa haa haya ndiyo mapenzi ya dhati halazimishwi mtu kumpenda mwenyewe utampenda mh htr. 1
  • @
    @sasha-ri7tf4 years ago " shaer and like" habari za vyama makini ili taarifa ziwafikiye wa tz wenye kupenda amani na uhuru ktk nchi. 1
  • @
    @emmanuelyjohn60874 years ago Naona mnatapatapa hamuoni hata pa kutokea na raisi kirema mwambieni akunje mguu urais tunampa. 1
  • @
    @omarratibu97094 years ago Tunataka sera zako sababu magufuli tushaona maendeleo yake. Sio kupigwa kura tu.
  • @
    @angelsonshiteri72324 years ago Wanakahama huyu jamaa alikuja tukupigia kelele tu. 2