VITUKO Vya RC MAKONGORO, AWAPA TUMBO JOTO Ma - DC, DAS - "UTEUZI wa RAIS SAMIA Unaendelea"
MKUU wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere, amefanya kikao na wakuu wa wilaya ambapo amewaeleza kuwa wwe tayari kwani uteuzi wa Rais Samia unaendelea na wanaweza kujikuta wamebadilishiwa kituo cha kazi...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
@kloppsaturn68913 years agoHe is strictly and firm but easy to get along with. 2
@
@nixonluseno84223 years agoI am happy to see the former first family playing a role in the adminstration of tanzania. 1
@
@bobjulieoneheartband3 years agoMungu halali, asante mh. Kumteua mkuu huyu wa mkoa na kuturudishia tabasamu na vichekesho vya baba wa taifa vikiambatana na uchapakazi. 5
@
@auntdorah91413 years agoNakukubaligi sana mheshimiwa. asante mama samia kwa hii zawadi. 7
@
@samwelsengati13693 years agoRaha sana unakuwa na boss ambae muda wote mnacheka tu. But ukileta mzaha kwenye kazi utajuta. 6
@
@peterkichochi75103 years agoHuyu baba mdogo wataifa very charming. This is a great men. 9
@
@francojohn84883 years agoThe great mwl julius k nyerere forever we love u! 18
@
@deusdebitkowa96573 years agoKucheka raha, kiukweli tunahitaji sana ucheshi wa aina hii ktk zama hizi. 12
@
@rmaryp62693 years agoAnacheka kama alivyokua akicheka baba yake, na ni mchekeshaji sana. 23
@
@stevensteve75193 years agoDu mheshimiwa makongoro unaporojesha hatari. Kazi njema mkuu. 5
@
@rahmahersi21163 years agoHongera. Na pole sana. ndugu yangu.
@
@princeerick3723 years agoWhat goes around, comes around! I see the great nyerere on you, mungu akusaidie ukatumike vyema.
@
@pascalmsechu68743 years agoSaw sawasana man. Ila zile tabia za arusha uko hapana. 1
@
@Nyanda5063 years agoSio lazima kiongozi kila mara uwe serious tu lazima utengeneze team work nzuri yenye kujiamini na si uoga. 7
@
@emanuelnyab98723 years agoDaa kizazi cha nyerere hicho wanafanana mambo fulani hivi. 3
@
@reubenimalando87923 years agoHuyu mh kama nyerere tu story za kuchekesha kwa wingi. 10
@
@valenakomba44533 years agoNa siyo wewe tu, bali kila mkuu wa mkoa katika nchi hii, yeye ni rais wa mkoa. 8
@
@diamondgeyser79873 years agoMkoa wa manyara utaongoza kwa watu wenye furaha tanzania. 16
@
@geofleylunyelele80243 years agoAnachangamsha sana yani uchangamfu kama baba wa taifa inapendeza sana mama umetuludishia mzee. 17
@
@abdallahlugendo32213 years agoMku wetu ametuwacha vinywa wazi kwa furaha na vicheko kubwa ni kufanya kazi kwa umakini na uadilifu asante mkuu wa mkowa mhe makongoro nyerere. 11
@
@emmanuelbonifas35173 years agoMungu akujalie kufa umezaa watoto wenye hekima na busara ni raha sana sasa hv mwl anafurah tu huko kila la heri makongoro iwakilishe mara. 1
@
@charlesaketch32643 years agoChapa kazi mkuu mungu akujalie kazi iendelee manyara oyee. 2
@
@rahmahersi65843 years agoHongera sana. Napenda hotuba yako.
@
@happydionice3553 years agoHuwa nacheka sana kila nikikusikiliza mh makongoro. 9
@
@rahmahersi21163 years agoMtoto wa mwalimu una vitukoo. hujawahi kuwa makuu wa. 1
@
@rahmahersi21163 years agoYou are fit to be comedy. mtoto wa mwalimu. i enjoyed your hotuba.
@
@gabrielaniseti15373 years agoAnother nyerere the university of politica. 2
@
@laghtnesphilipo4893 years agoAsante mama samia kutuletea mkuu wa mkoa mwenyetabasamu watu wake mithili ya baba yake,
@
@gibsonjosephat63523 years agoHongera sana mama yetu rais samia suluhu kwa kutuletea mzee huyu kwenye uongozi. Hata kama mimi niko kigoma nitakuwa namfuatilia kwenye mtandao ya kijamii ili nifuahi sana.
@
@zaidihussein43113 years agoMakongoro hoyee mungu akusaidie ktk uwongozi wako. 1
@
@benedictmrisho59472 years agoKweli mama kakujengea historia. U mcheshi lakini ndani ya ucheshi kuna shukrani na unyenyekevu kwa wananchi. Unawatia moyo wananchi wa mkoa wako.
@
@abasisapi54743 years agoHongera makongoro, kumbe unajua kuongea namna hii?
@
@binurusm88863 years agoMh rais wetu, mama samia suluhu hassan, mwenyezi akulinde, kumteua makongoro nyerere, kumteua mtoto edward sokoine, hakika sina cha kukupa zaidi kukuombea. ...Expand
@
@davidmihayo44363 years agoYou' re as charming as mwl nyerere was but work hard. 1
@
@immahkobeh76203 years agoHongera sana mh makongoro jmn mwenye namba za mh makongoro nyerere nakuomba plz nko siriaz. 1
@
@abuyunusmohamed69613 years agoMheshimiwa makongoro ni mchangamfu sana. 12
@
@briansancedo93363 years agoHahahaha ucheshi wake unafanana na mwalimu nyerere.
@
@arbaab93373 years agoKweli damu haipotei like father like son. 4
@
@archnidquasar73143 years agoHuyu bwana mkubwa alikua kwenye kamati ya maadili ya ccm kipi kimetokea mpaka ashushwe kiasi hiki dah. 1
@
@kloppsaturn68913 years agoSijui kwanini but mimi nahisi kama charles makongoro nyerere anafaa kugombea urais 2025. 2
@
@gasirigwaaloyce87393 years agoKazi ndo itatuaminisha zaid japo ni mcheshi. 1
@
@jacksonoswago61603 years agoWakiwa serious mnaanza kusema hawana social exposure, wakinuna wananyanyasa wananchi, makongoro huyu sio wa kufundishwa kazi ya ukuu wa mkoa, mama kamteua. ...Expand4
@
@khdigahk42463 years agoHahaha yani uyu daah mama mtaalishaji wa kipindi. 2
@
@nusrathussein5213 years agoYuko sawa na baba yake nyerere kicheko tu. 5
@
@mzeeally24743 years agoTatizo huyu mzee hajuagi kununa, akinuna an act ukweli ni kwamba hajuagi kununa mzee yule. M. 2
@
@edgarjoseph55733 years agoMbona haichekeshi sasa hawa wanacheka nini.
@
@AliMohamed-wp1op3 years agoMakongoro ni mchekeshaji na sio mwanasiasa. 10
@
@phoebemmanga60473 years agoHakuna kama mama jamani. Nimefurahishwa na kitendo cha kumuenzi hayati mwl. Julius kambarage nyerere kwa kumteua mtoto wake makongoro nyerere kuwa mkuu. ...Expand1
@
@christinawallasch52283 years agoAnatengeza good mood ya kazi, watu wafanye kazi kwa confidence na bila uwoga wa kazi tunategemea kazi nzuri kwako na watendaji wakomak.
@
@barakashadrack76953 years agoHuu mkoa baada ya mwaka 1 kutakuwa na comedy nzr. 3
@
@ramadhanmwandambotuntufye59723 years agoMakongoro nyerere nakupendaga sana, kwa jinsi ulivyo unapendeza sana ukiwa ni muislam, una hekima, subira na utu, unapenda haki, unachokikosa ni uislam. ...Expand1
@
@MohdAli-cx7bc3 years agoApa unaona utafauti kati ya viongozi na wababe uyuu mzee anabusara na hekima mtizame sebaya ubabe tu kwa watu wake hajajua kama uongozi ni mapito. 2
@
@yohanaikaya62183 years agoTufanyieni mpango wa kupata rais kutokea ukoo wenu maana naona ni watu wenye akili nyingi kiuongozi.
@
@mzeeally24743 years agoMama akimaliza ampendekeze tuu awe mbona anafaa sana makongoro. 1
@
@wizanakitvonline61903 years agoNaomba kujua, kabla mama hajamteua kuwa rc, alikuwa nani huyu nyerere.
@
@alluminiumexperttz.12mview133 years agoShida ya bongo ukionyesha meno tu umekwisha. Ukweli ni kwamba hapa bongo ukitaka kuwa kiongozi mwenye mafanikio lazma ufanye maamuzi magumu na njia pekee ni kuhakikisha huonyeshi meno kizembe. 2
Related videos for VITUKO Vya RC MAKONGORO, AWAPA TUMBO JOTO Ma - DC, DAS - UTEUZI wa RAIS SAMIA Unaendelea:
asante mama samia kwa hii zawadi. 7
ndugu yangu.
hotuba yako.
una vitukoo.
hujawahi kuwa makuu
wa. 1
mtoto wa mwalimu.
i enjoyed your hotuba.
the university of politica. 2