Duration 7:49

''ITAKUA NI AIBU JESHI KUSHIDWA KAZI, HILI NI LA KUFA NA KUPONA - WAZIRI NDALICHAKO

23 942 watched
0
98
Published 5 Mar 2021

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknojia Profesa Joyce Ndalichako ameitaka SUMA JKT Kanda ya Magharibi kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa Chuo Kipya cha Ualimu Kabanga ifikapo Juni mwaka huu. Profesa Ndalichako ametoa agizo hilo baada ya kufanya ukaguzi wa majengo katika chuo hicho na kutoridhishwa na kasi ya ujenzi unaoendelea ambapo amesema ujenzi huo ulioanza Machi 19, 2019 na ulipaswa kuwa umekamilika Juni 2020 na bado hajakamilika pamoja na mkandarasi kuongezwa muda wa zaidi wa miezi nane.

Category

Show more

Comments - 41