Duration 3:40

Nipe nikupe ya siasa yazidi kushuhudiwa chamani Jubilee

29 627 watched
0
145
Published 4 Jul 2020

Naibu Rais William Ruto amewatetea wabunge wanaoegemea mrengo wake katika chama cha jubilee, waliofurushwa kuongoza kamati mbali mbali za bunge huku mjeledi wa rais uhuru kenyatta ukizidi kuwacharaza wale wanaodaiwa kuwa waasi. Ruto ameyataja masaibu dhidi ya wandani wake kama pepo mchafu anayehitaji maombi. Na kama anavyotuarifu francis gachuri, wabunge wanaoshabikia azma ya ruto kuingia ikulu wanadai kutishiwa, huku wakishurutishwa kubadili mkondo.

Category

Show more

Comments - 111