Duration 21:18

WAZIRI KAMWELWE AKIRI MAKOSA MBELE YA RAIS MAGUFULI

80 477 watched
0
243
Published 16 Mar 2020

“Mheshimiwa Rais ninakubali kukosea….ilitakiwa siku hiyo hiyo nitangaze kumfukuza kazi…ninaomba kukiri kwamba nimekosea…” – Waziri Kamwelwe akikiri mbele ya Rais Magufuli juu ya kucheleweshwa kumfukuza kazi Meneja wa Tanroad Mkoa wa Morogoro kutokana na uzembe unaoendelea katika ujenzi wa daraja la Kiyegeya.

Category

Show more

Comments - 40