#mincecutlets #potatocutlets #eggcutlets #scotcheggs
Nyama ya kusaga 450g
1tsp uzile mzima, chumvi kiasi, dania ya unga 1tsp, tangawizi na thomu 2tbsp, 1tsp pilipili manga
1kg Mbatata
Mayai ya kuchemsha 3, 1tbsp maji ya ndimu ,chumvi kiasi chako, kitunguu maji 1 kdgo na ukatekatendogo , dania fresh nusu kikombe ilokatwakatwa, viungo 1tsp uzile wa unga, 1tsp au zaidi pilipili manga ,1tsp pilipili ya chenga, 1tbsp tang/thomu
Kukaanga
Mafuta ya kutosha, chenga za mkate fresh na mayai mawili ya kuchova
kuangalia video ya Farwat's kitchen bonyeza link hii hapa
/watch/M950vopj1pvj0
Category
Show more
Comments - 8
Related videos for Katlesi za kuchanganya nyama na mayai (Collabo Video)with English Subtitles: