Duration 2:31

Hospitali ya rufaa ya Bungoma inashuhudiwa msongamano

1 047 watched
0
5
Published 2 Jun 2021

Kwa muda sasa, hospitali ya rufaa ya Bungoma imekuwa ikishuhudia msongamano wa wagonjwa, haswa kina mama wanaofika kujifungua. Wodi za kujifungua kina mama mara nyingi zikijaa kutokana na idadi kubwa ya wale wanaofika kutafuta huduma katika hospitali hiyo. Lakini kama Mashirima Kapombe anavyoarifu, usimamizi wa hospitali hii umekiri hatari ya hali hii na kutafuta suluhu

Category

Show more

Comments - 3