Duration 5:21

HARMONIZE AMUOMBA MSAMAHA KAJALA NA PAULA NILIMPENDA PAULA, NILIMKOSEA SANA, MIMI NDIYE SABABU

788 watched
0
11
Published 5 Nov 2021

HARMONIZE AMUOMBA MSAMAHA KAJALA NA PAULA "NILIMPENDA PAULA, NILIMKOSEA SANA, MIMI NDIYE SABABU" Ameyaongea hayo Live kwenye Instagram wakati ana Introduce Album yake Mpya "HIGH SCHOOL" Alipofika Wimbo No. 7 saba uitwao MJATE Ambao alimuimbia Kajala enzi Wako Pamoja kwenye Mahusiano. Kwenye Kauli zake mwenyewe Kataja Ma X wake Wengine pia SARAH, na JACKLINE WOLPER.

Category

Show more

Comments - 2