Duration 2:34

Bongo Team Vs Zambia

Published 18 Apr 2021

Kuelekea michuano ya AFCON 2021 ambayo inaegemea kuanza tarehe 01/05/2021 Wuhan, Bongo Team jana tarehe 18/04/2021 walikua na mchuano wa kirafiki dhidi ya Zambia. Michuano hii ilifanyika katika viunga vya Wuhan University of Science and Technology (WUST) kuanzia saa nne asubuhi. Mpaka mchuano huu kumalizika, Bongo Team iliongoza kwa bao mbili (2) huku Zambia wakiondoka na bao moja (1). #MsimuMwingineTena #TheRoadToAFCON2021 #HainaKufeli

Category

Show more

Comments - 2