Duration 15:31

Part 2: Q BOY; Nilimsingizia DIAMOND PLATNUMZ UONGO / NAJUTA SANAA

5 157 watched
0
76
Published 22 Jan 2019

Aliyekuwa Desighner wa mkali wabongo flaver #DIAMONDPLATNUMZ kwa jina #qboymsafi ambaye aliwahi kutofautiana na Boss wake huyo na kuondoka kabisa #WASAFI #WCB kwa muda usiopungua miaka miwili hatimaye amekuja tena kwa mashabiki wake na kuweka wazi kuwa makosa yalikuwa upande wake na alistahili kabisa hata kuondolewa Wasafi. Baada ya kukiri wazi kosa hilo kwa mara ya kwanza katika exclusive interview hapa Tiki TV hatimaye amezungumza mengi zaidi ikiwemo mawasiliano yake ya mwisho yeye na Zari, Pia amefunguka kuacha mziki na kurudi wasafi, video hii amezungumza mambo mengi ambayo hukuwahi kuyajua, itazame video hii mpaka mwisho kujua ukweli wa mambo UTASHANGAA

Category

Show more

Comments - 25