Duration 1:5

Polisi wafunguka kuhusu kijana anayedaiwa kumuua Mama yake Mfanyabiashara wa Madini Arusha

9 291 watched
0
84
Published 28 Dec 2021

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha kamishina msaidizi wa Polisi ACP JUSTINE MASEJO December 28.2021 ametoa taarifa juu ya tukio la mauaji ya marehemu RUTH MMASI. Akiongea na waandishi wa habari leo ofisi kwake amesema kufuatia tukio la kuuawa kwa marehemu RUTH MMASI tukio lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita mwaka huu 2021 huko maeneo ya njiro katika halmashauri ya jiji la Arusha.

Category

Show more

Comments - 8